Fumbo — Chumba cha Siri

Mchezo wa escape room wa Kiswahili: umejifungia ndani ya ghala la mfanyabiashara wa zamani huko Lamu. Chunguza chumba, kusanya vidokezo, tatua fumbo la kasha la siri na ufungue mlango kabla ya mapambazuko. Unachezwa kwa kugusa tu — kwenye simu au kompyuta, wima au mlalo.

More like this
See all